Kuna Methali Isemayo "Kata Pua Uunge Wajihi" (Cut Off Your Nose So That You May Improve Your Appearance). Ambayo Maana Yake Kubwa Ni Maintain Your Good Reputation, Even At The Price Of Loosing Something You Treasure. Katika Mahusiano Kuna Vitu Vingi Furaha, Huzuni Na Kila Jema Lenye Kuchochea Amani Na Tabasamu Baina Ya Wapendanao Lakini Pia Kuna Vikwazo Mbalimbali Vinavyofanya Baadhi Ya Mahusiano Kuvunjika. Hata Hivyo Ili Kuyashinda Yote Haya Unahitajika Uvumilivu, Uelewa Na Ujinga Kwa Baadhi Ya Mambo Ili Kudumisha Mahusiano.
Hata Hivyo Baada Ya Uvumilivu Wa Muda Mrefu Katika Mahusiano, Wengi Hufikia Uamuzi Mgumu Wa Kila Mmoja Kuangalia Njia Na Tulizo La Moyo Wake. Inapofikia Hatua kama Hiyo
"When your heart is broken" Hizi Hapa Ndizo Nyimbo Kumi Bora za Kujifariji Baada Ya Mahusiano Kuvunjika.
1. Taylor Swift- Begin Again
Mbali Na Yote Uvumilivu Ukizidi Huwa Ni Mateso na Tiba Yake Ni Kuacha Na Kuanza Upya Begin Again kama anavyoimba Taylor Swift.
"I`ve been spending the last eights months
Thinking all love ever does it break and burn and end
But on a Wednesday in a cafe I watched it begin again"
2. Joy Division- Love Will Tear Us Apart
Wabantu Wanasema "Kazi Mbaya Sio Mchezo Mwema" (To Do a Poor Job Is Not a Good Game) Muda Ukifika Inahitajika Kufanya Maamuzi Magumu Ili Kuendana Na Hisia Za Moyoni.
"And we're changing our ways,
Taking different roads."
3. The Kills- The Last Goodbye
Huwa Inatokea Pale Ambapo Bado Unampenda Mahabuba Wako, Atakufanyia Vituko Vya Kila Aina, Matusi, Dharau Na Majigambo Na Bado Ukaendelea Kumpenda, Kubembeleza Na Kulazimisha Penzi Lenu Kuendelea. Mwisho Wa Siku Unachoka Na Kuamua Kuacha Mtu Aende Na Hapa Ndipo Unakutana Na The Last Goodbye Napenda Kuita Maumivu Yenye Utamu Ndani Yake.
I can't get by on an odds and ends love that don't ever match up
I heard all you said and I took it to heart."
4. Bob Dylan- Dont Think Twice Its Alright
Maumivu Ya Kuachana Kwa Wapenzi Wanaopendana Hayaelezeki, Cha Kufanya Baada Ya Kuachana Kama Ni Kulia, Basi Lia Sana, Kama Ni Kucheka Basi Cheka Sana, Kama Ni Kunywa Basi Kunywa Sana, Kama Unapenda Utulivu Tafuta Sehemu Iliyotulia Sana Ukae Ukijifariji Baada Ya Mateso Yote Hayo "Dont Think Twice Its Alright"
But don't think twice, it's all right."
5. The Cranberries- Linger
Waswahili Wanamsemo Usemao "Kichache Hakikutoshi Na Kingi Hakikulizishi" (A Little Does Not Satisfy You And a Lot Will Not Feed You. Greed Can Never Be Satisfied).
Ni Kawaida Sana Mtu Kumuamini Mpenzi Wake Kiasi Cha Kushindwa Kupokea Chochote Ndani Ya Ubongo Tofauti Na Mawazo Ya Mpenzi. Hapa Inapofikia Hatua Ya Kuachana Huwa Ni Kipindi Kigumu Sana Kwa Wapendanao.
"And I'm in so deep. You know I'm such a fool for you.
You got me wrapped around your finger, ah, ha, ha.
Do you have to let it linger? ".
6. The Supremes- You Cant Hurry Love
Jifunze "Kilimia Kikizama Kwa Jua Huzuka Kwa Mvua, Kikizama Kwa Mvua Huzuka Kwa Jua"( When The Pleiades Set In Sunlight They Rise In Rain; When They Set In Rain They Rise In Sunlight).
Kitu Kigumu Zaidi Katika Mahusiano Ni Mtu Kudhani Nikimpoteza Mpenzi Niliyenaye Ni Vigumu Kumpata Mwingine "You Cant Hurry Love"
"You can't hurry love
No, you just have to wait
She said trust, give it time
No matter how long it takes."
Kitu Kizuri Kutoka Kwenye Wimbo Huu Ni Kuwa Hisia Zote Zimetolewa Na Mtoaji Hisia Amelalamika Kwa Kadri Awezavyo.
Still I'm glad for what we had, and how I once loved you."
8. Passenger- Let Her Go
Hata Kama Waswahili Wanamsemo Usemao "Kila Ndege Mwenye Mkia Ni Lazima Aringe" Maringo Katika Mahusiano Yana Nafasi Yake Japo Yakizidi Sana Huwa Ni Karaha Katika Mahusiano, Hapo Ndipo Passenger Anakwambia You Have To Let Someone Go!!! Yawezekana Hiyo Sio Nafasi Yako, Kaa Tulia Utapata Nafasi Na Tulizo La Moyo Wako.
Unaambiwa Kipendacho Moyo Ni Dawa (What The Heart Desires Is Medicine To Itself), Katika Mahusiano Ni Vyema Kuzingatia Maneno Na Busara Za Hali Ya Juu Kwa Mpenzi Wako, Maumivu Ya Moyo Ni Makubwa Hasa Kwa Nafsi Inayopenda Kweli.
Moyo Ukishakatishwa Tamaa Huwa Si Rahisi Kurudi Katika Hali Yake Ya Kawaida, Ni Muhimu Sana Wimbo Wa Michael Learns To Rock- Breaking My Heart Usikauke Masikioni Mwako Katika Kipindi Cha Maumivu.
10. Boyz 2 Men- End Of The Road
KUMBUKA: Unapofanya Maamuzi Ya Mahusiano Penda Kuushirikisha Ubongo Wako Zaidi Ya Marafiki , Siku Zote "Kitanda Usichokilala Hujui Kunguni Wake"( You Can Not Know What Is In The Bed On Which You Have Not Slept) Fanya Maamuzi Yanayoupendeza Moyo Wako.
WIMBO SINDIKIZI WA MAKALA HII: Ni "Sweet Melody" Wa Hussein Machozi. Upakue Na Kuusikiliza Hapa.
Enjoy Good Music~Stay Connected With Maliquid Classic For Any New Hit Song Released.