SHIRIKA LA AFYA WHO, LATHIBITISHA KUISHI BILA MPENZI NI SAWA NA ULEMAVU


Mnamo oktoba 2016, ilitangazwa na viongozi wa Shirika la Afya Duniani (WHO)kwamba kuishi bila mpenzi ni sawa na ulemavu.

Tangazo hilo lenye utata la WHO linasema kwamba wanaume na wanawake ambao wanatamani kuwa na familia zao na watoto lakini wanashindwa kutafuta wachumba wanachukuliwa kuwa walemavu.

Washirika wa roho za upweke Duniani kote waliumia sana na tangazo hilo.

WHO wanaamini kila mwanadamu ana haki ya kuzaa.Chakushangaza baadhi ya watu wanashidwa kutafuta watu wakuwa nao.

Tangazo hilo la WHO lililalamikiwa na watu wengi na kusema kuwa ni vyema shirika hilo likajishughulisha na afya na kuachana na utafiti wa maisha ya watu binafsi.

Hata hivyo imebainika kuwa wengine hawana wapenzi kwasababu ya maamuzi.
Japo wengine hawana wapenzi kwasababu wanashindwa kutafuta wapenzi.