BARUA YA WAZI KWA MWANANGU

KWAKO MWANANGU, ULIYEKATAA TAMAA,

Asubuhi Yangu Imepambwa Na Mihogo Vipande Viwili Na Maji Ya Kunywa Jagi Zima, Inaziba Pengo La Mlo Wa Mchana. Jioni Ni Majaliwa. Hii Ni Jadi Yetu Mwanangu, Mtaa Unatufunza, Mapambano YanatuSANUA Michongo Ya Kuziba Pengo La Njaa..
.
Wakati Nipo Kwenye Kusaka Tonge, Nikasikiaa Mwanangu Mmoja, Sijawahi Kukutana Naye Zaidi Ya Kumuonaa Kwenye Tv Pale Kwa Jirani Akiimba Kupitia Spika Za Simu Ya Mwanangu, Nikamuuliza Wimbo’ Akaniambia Ni “MUNGU HAPOKEI RUSHWA” Aisee “ Nikasikiliza” Mara Kumi.

Humo Ndani Kaimba Sana, Ametupa TUMAINI Sisi WASAKATONGE, '' HAKUNA ANAYETUJUA WALA, HATUNA CONNECTION, KUSEMA ELIMU MBONA WENGI NI JOBLESS'' Hichi Kipande Kimeonesha Mwanangu Huyu Amepitia MAISHA Yetu, Maisha Ya Dhiki, Masimango.. WENGI Hatuna Connection, Wengi Vyeti Vimekaa Makabatini, Maisha Yametupa Darasa. Tumekata Tamaa.
.
Leo Nakwambia Ukisikia Kukataa TAMAA, Kwenye “Hustling” Zako, Usiogope Mwanangu SIKILIZA Mashairi Ya “MUNGU HAPOKEI RUSHWA” Utapata NGUVU, UJASIRI Wa Kusonga Mbele. Usiogope Kukosa Connection, Kukosa Leo, Mwanangu “Mungu HAPOKEI RUSHWA” Nafasi Yako Ipo Na Inakusudi Na Wewe.. Endelea Kupambana, Sali Sana.
.
Mwanangu Nipo Naziba Pengo La Njaa, Ujumbe Mzito Upo Humu “ Mungu HAPOKEI RUSHWA” Ukupe Nguvu Kila Siku Mwanangu. 
                                                   MUNGU HAPOKEI RUSHWA-MP3 DOWNLOAD HAPA