HII NI VIDEO ILIYOVUNJA RECORD YOUTUBE

DESPACITO.

Ngoma iliyofanywa na Luis Fonsi akishirikiana na Daddy Yankee, imevunja record ya kutazamwa na watazamaji billion 3 idadi ambayo haijawahi kufikiwa katika historia ya Youtube.
Despacito” means “slowly”.
Wimbo umeandikwa na  Luis Fonsi, Erika Ender na Daddy Yankee, na production ikafanywa na Andrés Torres pamoja na Mauricio Rengifo na Ngoma ilitambulishwa rasmi january 12, 2017.
"Despacito"
Luis Fonsi Feat. Daddy Yankee - Despacito (Official Single Cover).png
Enjoy good video from Maliquid Entertainment.